Hesabu 4:3
Numbers 4:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wahesabu wanaume wote wenye umri wa miaka thelathini hadi hamsini wanaokuja kutumika katika kazi ya Hema la Kukutania.
Numbers 4:3 in English
Numbers 4:3 · Berean Standard Bible
men from thirty to fifty years old—everyone who is qualified to serve in the work at the Tent of Meeting.
Context
1Bwana akawaambia Mose na Aroni, 2“Wahesabu Wakohathi walio sehemu ya Walawi kwa koo zao na jamaa zao. 3Wahesabu wanaume wote wenye umri wa miaka thelathini hadi hamsini wanaokuja kutumika katika kazi ya Hema la Kukutania. 4“Hii ndiyo kazi ya Wakohathi katika Hema la Kukutania: Watatunza vitu vilivyo vitakatifu sana. 5Wakati kambi inapohamishwa, Aroni na wanawe wataingia ndani na kushusha lile pazia la kuzuilia na kufunika nalo Sanduku la Ushuhuda.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.