Native Bible

Numbers 4:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Hii ndiyo kazi ya Wakohathi katika Hema la Kukutania: Watatunza vitu vilivyo vitakatifu sana.

Numbers 4:4 in English

Numbers 4:4 · Berean Standard Bible

This service of the Kohathites at the Tent of Meeting regards the most holy things.

Context

2“Wahesabu Wakohathi walio sehemu ya Walawi kwa koo zao na jamaa zao. 3Wahesabu wanaume wote wenye umri wa miaka thelathini hadi hamsini wanaokuja kutumika katika kazi ya Hema la Kukutania. 4“Hii ndiyo kazi ya Wakohathi katika Hema la Kukutania: Watatunza vitu vilivyo vitakatifu sana. 5Wakati kambi inapohamishwa, Aroni na wanawe wataingia ndani na kushusha lile pazia la kuzuilia na kufunika nalo Sanduku la Ushuhuda. 6Kisha watafunika juu yake na ngozi za pomboo,* na kutandaza juu yake kitambaa cha rangi ya buluu iliyokolea na kuingiza mipiko mahali pake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.