Native Bible

Numbers 27:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mose akamwambia Bwana,

Numbers 27:15 in English

Numbers 27:15 · Berean Standard Bible

So Moses appealed to the LORD,

Context

13Baada ya kuiona, wewe pia utakusanywa pamoja na watu wako kama ndugu yako Aroni alivyokusanywa, 14kwa kuwa jumuiya ilipoasi amri yangu kwenye maji katika Jangwa la Sini, wakati jumuiya ilipogombana nami, nyote wawili mliacha kuitii amri yangu ya kuniheshimu kama mtakatifu mbele ya macho yao.” (Haya yalikuwa maji ya Meriba huko Kadeshi, katika Jangwa la Sini.) 15Mose akamwambia Bwana, 16“Bwana, Mungu wa roho zote za wanadamu, na amteue mtu juu ya jumuiya hii 17ili atoke na kuingia mbele yao, atakayewaongoza katika kutoka kwao na kuingia kwao, ili watu wa Bwana wasiwe kama kondoo wasio na mchungaji.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.