Native Bible

Numbers 27:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Bwana, Mungu wa roho zote za wanadamu, na amteue mtu juu ya jumuiya hii

Numbers 27:16 in English

Numbers 27:16 · Berean Standard Bible

“May the LORD, the God of the spirits of all flesh, appoint a man over the congregation

Context

14kwa kuwa jumuiya ilipoasi amri yangu kwenye maji katika Jangwa la Sini, wakati jumuiya ilipogombana nami, nyote wawili mliacha kuitii amri yangu ya kuniheshimu kama mtakatifu mbele ya macho yao.” (Haya yalikuwa maji ya Meriba huko Kadeshi, katika Jangwa la Sini.) 15Mose akamwambia Bwana, 16“Bwana, Mungu wa roho zote za wanadamu, na amteue mtu juu ya jumuiya hii 17ili atoke na kuingia mbele yao, atakayewaongoza katika kutoka kwao na kuingia kwao, ili watu wa Bwana wasiwe kama kondoo wasio na mchungaji.” 18Kwa hiyo Bwana akamwambia Mose, “Mchukue Yoshua mwana wa Nuni, mtu ambaye Roho yuko ndani yake, uweke mkono juu yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.