Hesabu 26:51
Numbers 26:51 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Jumla ya hesabu ya wanaume wa Israeli ilikuwa 601,730.
Numbers 26:51 in English
Numbers 26:51 · Berean Standard Bible
These men of Israel numbered 601,730 in all.
Context
49kutoka kwa Yeseri, ukoo wa Wayeseri;
kutoka kwa Shilemu, ukoo wa Washilemu. 50Hizi ndizo zilizokuwa koo za Naftali; wale waliohesabiwa walikuwa 45,400. 51Jumla ya hesabu ya wanaume wa Israeli ilikuwa 601,730. 52Bwana akamwambia Mose, 53“Watagawiwa nchi kama urithi kwa kulingana na hesabu ya majina.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.