Hesabu 26:53
Numbers 26:53 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Watagawiwa nchi kama urithi kwa kulingana na hesabu ya majina.
Numbers 26:53 in English
Numbers 26:53 · Berean Standard Bible
“The land is to be divided among the tribes as an inheritance, according to the number of names.
Context
51Jumla ya hesabu ya wanaume wa Israeli ilikuwa 601,730. 52Bwana akamwambia Mose, 53“Watagawiwa nchi kama urithi kwa kulingana na hesabu ya majina. 54Kundi kubwa zaidi lipe urithi mkubwa zaidi, na kundi dogo zaidi lipewe urithi mdogo zaidi; kila kundi litapokea urithi wake kulingana na hesabu ya wale walioorodheshwa. 55Hakikisha kuwa nchi inagawanywa kwa kura. Kile kitakachorithiwa na kila kikundi kitakuwa kwa kulingana na majina ya kabila la babu yao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.