Hesabu 26:52
Numbers 26:52 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana akamwambia Mose,
Numbers 26:52 in English
Numbers 26:52 · Berean Standard Bible
Then the LORD said to Moses,
Context
50Hizi ndizo zilizokuwa koo za Naftali; wale waliohesabiwa walikuwa 45,400. 51Jumla ya hesabu ya wanaume wa Israeli ilikuwa 601,730. 52Bwana akamwambia Mose, 53“Watagawiwa nchi kama urithi kwa kulingana na hesabu ya majina. 54Kundi kubwa zaidi lipe urithi mkubwa zaidi, na kundi dogo zaidi lipewe urithi mdogo zaidi; kila kundi litapokea urithi wake kulingana na hesabu ya wale walioorodheshwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.