Hesabu 26:43
Numbers 26:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wote walikuwa koo za Washuhamu; wale waliohesabiwa walikuwa 64,400.
Numbers 26:43 in English
Numbers 26:43 · Berean Standard Bible
All of them were Shuhamite clans, and their registration numbered 64,400.
Context
41Hizi ndizo zilizokuwa koo za Benyamini; wale waliohesabiwa walikuwa 45,600. 42Hawa ndio waliokuwa wazao wa Dani kwa koo zao:
kutoka kwa Shuhamu, ukoo wa Washuhamu.
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Dani: 43Wote walikuwa koo za Washuhamu; wale waliohesabiwa walikuwa 64,400. 44Wazao wa Asheri kwa koo zao walikuwa:
kutoka kwa Imna, ukoo wa Waimna;
kutoka kwa Ishvi, ukoo wa Waishvi;
kutoka kwa Beria, ukoo wa Waberia; 45kutoka kwa wazao wa Beria:
kutoka kwa Heberi, ukoo wa Waheberi;
kutoka kwa Malkieli, ukoo wa Wamalkieli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.