Hesabu 26:41
Numbers 26:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Benyamini; wale waliohesabiwa walikuwa 45,600.
Numbers 26:41 in English
Numbers 26:41 · Berean Standard Bible
These were the clans of Benjamin, and their registration numbered 45,600.
Context
39kutoka kwa Shufamu, ukoo wa Washufamu;
kutoka kwa Hufamu, ukoo wa Wahufamu. 40Wazao wa Bela kutoka kwa Ardi na Naamani walikuwa:
kutoka kwa Ardi, ukoo wa Waardi;
kutoka kwa Naamani, ukoo wa Wanaamani. 41Hizi ndizo zilizokuwa koo za Benyamini; wale waliohesabiwa walikuwa 45,600. 42Hawa ndio waliokuwa wazao wa Dani kwa koo zao:
kutoka kwa Shuhamu, ukoo wa Washuhamu.
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Dani: 43Wote walikuwa koo za Washuhamu; wale waliohesabiwa walikuwa 64,400.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.