Native Bible

Numbers 25:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Watendeeni Wamidiani kama adui na mwaue,

Numbers 25:17 in English

Numbers 25:17 · Berean Standard Bible

“Attack the Midianites and strike them dead.

Context

15Jina la mwanamke wa Kimidiani aliyeuawa ni Kozbi binti wa Suri, aliyekuwa mkuu wa kabila la jamaa ya Wamidiani. 16Bwana akamwambia Mose, 17“Watendeeni Wamidiani kama adui na mwaue, 18kwa sababu wao waliwatendea kama adui wakati waliwadanganya katika tukio la Peori na dada yao Kozbi, binti wa kiongozi wa Kimidiani, mwanamke ambaye aliuawa wakati tauni ilikuja kama matokeo ya tukio la Peori.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.