Native Bible

Numbers 25:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jina la mwanamke wa Kimidiani aliyeuawa ni Kozbi binti wa Suri, aliyekuwa mkuu wa kabila la jamaa ya Wamidiani.

Numbers 25:15 in English

Numbers 25:15 · Berean Standard Bible

And the name of the slain Midianite woman was Cozbi, the daughter of Zur, a tribal chief of a Midianite family.

Context

13Yeye pamoja na wazao wake watakuwa na Agano la ukuhani milele, kwa sababu alikuwa na wivu kwa ajili ya heshima ya Mungu wake, na akafanya upatanisho kwa Waisraeli.” 14Jina la Mwisraeli ambaye aliuawa pamoja na mwanamke wa Kimidiani ni Zimri mwana wa Salu, kiongozi wa jamaa ya Simeoni. 15Jina la mwanamke wa Kimidiani aliyeuawa ni Kozbi binti wa Suri, aliyekuwa mkuu wa kabila la jamaa ya Wamidiani. 16Bwana akamwambia Mose, 17“Watendeeni Wamidiani kama adui na mwaue,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.