Native Bible

Numbers 25:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jina la Mwisraeli ambaye aliuawa pamoja na mwanamke wa Kimidiani ni Zimri mwana wa Salu, kiongozi wa jamaa ya Simeoni.

Numbers 25:14 in English

Numbers 25:14 · Berean Standard Bible

The name of the Israelite who was slain with the Midianite woman was Zimri son of Salu, the leader of a Simeonite family.

Context

12Kwa hiyo mwambie Finehasi ninafanya Agano langu la amani naye. 13Yeye pamoja na wazao wake watakuwa na Agano la ukuhani milele, kwa sababu alikuwa na wivu kwa ajili ya heshima ya Mungu wake, na akafanya upatanisho kwa Waisraeli.” 14Jina la Mwisraeli ambaye aliuawa pamoja na mwanamke wa Kimidiani ni Zimri mwana wa Salu, kiongozi wa jamaa ya Simeoni. 15Jina la mwanamke wa Kimidiani aliyeuawa ni Kozbi binti wa Suri, aliyekuwa mkuu wa kabila la jamaa ya Wamidiani. 16Bwana akamwambia Mose,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.