Hesabu 23:18
Numbers 23:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Balaamu akasema ujumbe wake: “Balaki, inuka na usikilize, nisikie mimi, wewe mwana wa Sipori.
Numbers 23:18 in English
Numbers 23:18 · Berean Standard Bible
Then Balaam lifted up an oracle, saying: “Arise, O Balak, and listen; give ear to me, O son of Zippor.
Context
16Bwana akakutana na Balaamu, akaweka ujumbe katika kinywa chake akasema, “Rudi kwa Balaki umpe ujumbe huu.” 17Basi Balaamu akarudi kwa Balaki, akamkuta amesimama kando ya sadaka yake, akiwa na wakuu wa Moabu. Balaki akamuuliza, “Je, Bwana amesema nini?” 18Ndipo Balaamu akasema ujumbe wake:
“Balaki, inuka na usikilize,
nisikie mimi, wewe mwana wa Sipori. 19Mungu si mtu, hata aseme uongo,
wala yeye si mwanadamu, hata ajute.
Je, anasema, kisha asitende?
Je, anaahidi, asitimize? 20Nimepokea agizo kubariki;
amebariki, nami siwezi kubadilisha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.