Native Bible

Numbers 21:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kutoka Matana wakafika Nahalieli, kutoka Nahalieli wakafika Bamothi,

Numbers 21:19 in English

Numbers 21:19 · Berean Standard Bible

and from Mattanah to Nahaliel, and from Nahaliel to Bamoth,

Context

17Kisha Israeli akaimba wimbo huu: “Bubujika, ee kisima! Imba kuhusu maji, 18kuhusu kisima ambacho kilichimbwa na wakuu, ambacho watu mashuhuri walikifukua, watu mashuhuri wakiwa na fimbo za utawala na bakora.” Kisha wakatoka jangwani kwenda Matana, 19kutoka Matana wakafika Nahalieli, kutoka Nahalieli wakafika Bamothi, 20na kutoka Bamothi wakafika kwenye bonde lililoko Moabu, mahali ambapo kilele cha Pisga kinatazamana na nyika. 21Israeli akawatuma wajumbe kumwambia Sihoni mfalme wa Waamori:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.