Native Bible

Numbers 21:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na kutoka Bamothi wakafika kwenye bonde lililoko Moabu, mahali ambapo kilele cha Pisga kinatazamana na nyika.

Numbers 21:20 in English

Numbers 21:20 · Berean Standard Bible

and from Bamoth to the valley in Moab where the top of Pisgah overlooks the wasteland.*

Context

18kuhusu kisima ambacho kilichimbwa na wakuu, ambacho watu mashuhuri walikifukua, watu mashuhuri wakiwa na fimbo za utawala na bakora.” Kisha wakatoka jangwani kwenda Matana, 19kutoka Matana wakafika Nahalieli, kutoka Nahalieli wakafika Bamothi, 20na kutoka Bamothi wakafika kwenye bonde lililoko Moabu, mahali ambapo kilele cha Pisga kinatazamana na nyika. 21Israeli akawatuma wajumbe kumwambia Sihoni mfalme wa Waamori: 22“Uturuhusu tupite katika nchi yako. Hatutageuka kando kwenda katika mashamba au mashamba ya mizabibu, ama kunywa maji kutoka kisima chochote. Tutasafiri kwenye njia kuu ya mfalme hata tutakapokuwa tumekwisha kupita katika nchi yako.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.