Hesabu 21:17
Numbers 21:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha Israeli akaimba wimbo huu: “Bubujika, ee kisima! Imba kuhusu maji,
Numbers 21:17 in English
Numbers 21:17 · Berean Standard Bible
Then Israel sang this song: “Spring up, O well, all of you sing to it!
Context
15na miteremko ya mabonde
inayofika hadi mji wa Ari
na huelekea mpakani mwa Moabu.” 16Kutoka hapo waliendelea mbele hadi kisima cha Beeri; kwenye kisima ambacho Bwana alimwambia Mose, “Wakusanye watu pamoja, nami nitawapa maji.” 17Kisha Israeli akaimba wimbo huu:
“Bubujika, ee kisima!
Imba kuhusu maji, 18kuhusu kisima ambacho kilichimbwa na wakuu,
ambacho watu mashuhuri walikifukua,
watu mashuhuri wakiwa na fimbo za utawala na bakora.”
Kisha wakatoka jangwani kwenda Matana, 19kutoka Matana wakafika Nahalieli, kutoka Nahalieli wakafika Bamothi,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.