Hesabu 21:15
Numbers 21:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na miteremko ya mabonde inayofika hadi mji wa Ari na huelekea mpakani mwa Moabu.”
Numbers 21:15 in English
Numbers 21:15 · Berean Standard Bible
even the slopes of the wadis that extend to the site of Ar and lie along the border of Moab.”
Context
13Wakasafiri kutoka hapo na kupiga kambi kando ya Mto Arnoni, ambao uko katika jangwa lililoenea hadi nchi ya Waamori. Arnoni ni mpaka wa Moabu, kati ya Moabu na Waamori. 14Ndiyo sababu Kitabu cha Vita vya Bwana kinasema:
“…Mji wa Wahebu nchini Seifa na mabonde
ya Arnoni, 15na miteremko ya mabonde
inayofika hadi mji wa Ari
na huelekea mpakani mwa Moabu.” 16Kutoka hapo waliendelea mbele hadi kisima cha Beeri; kwenye kisima ambacho Bwana alimwambia Mose, “Wakusanye watu pamoja, nami nitawapa maji.” 17Kisha Israeli akaimba wimbo huu:
“Bubujika, ee kisima!
Imba kuhusu maji,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.