Native Bible

Numbers 21:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutoka hapo waliendelea mbele hadi kisima cha Beeri; kwenye kisima ambacho Bwana alimwambia Mose, “Wakusanye watu pamoja, nami nitawapa maji.”

Numbers 21:16 in English

Numbers 21:16 · Berean Standard Bible

From there they went on to Beer,* the well where the LORD said to Moses, “Gather the people so that I may give them water.”

Context

14Ndiyo sababu Kitabu cha Vita vya Bwana kinasema: “…Mji wa Wahebu nchini Seifa na mabonde ya Arnoni, 15na miteremko ya mabonde inayofika hadi mji wa Ari na huelekea mpakani mwa Moabu.” 16Kutoka hapo waliendelea mbele hadi kisima cha Beeri; kwenye kisima ambacho Bwana alimwambia Mose, “Wakusanye watu pamoja, nami nitawapa maji.” 17Kisha Israeli akaimba wimbo huu: “Bubujika, ee kisima! Imba kuhusu maji, 18kuhusu kisima ambacho kilichimbwa na wakuu, ambacho watu mashuhuri walikifukua, watu mashuhuri wakiwa na fimbo za utawala na bakora.” Kisha wakatoka jangwani kwenda Matana,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.