Native Bible

Numbers 21:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutoka hapo waliendelea mbele wakapiga kambi kwenye Bonde la Zeredi.

Numbers 21:12 in English

Numbers 21:12 · Berean Standard Bible

From there they set out and camped in the Valley of Zered.

Context

10Waisraeli waliendelea na safari yao na wakapiga kambi huko Obothi. 11Kisha wakaondoka Obothi na kupiga kambi huko Iye-Abarimu, katika jangwa linalotazamana na Moabu kuelekea mawio ya jua. 12Kutoka hapo waliendelea mbele wakapiga kambi kwenye Bonde la Zeredi. 13Wakasafiri kutoka hapo na kupiga kambi kando ya Mto Arnoni, ambao uko katika jangwa lililoenea hadi nchi ya Waamori. Arnoni ni mpaka wa Moabu, kati ya Moabu na Waamori. 14Ndiyo sababu Kitabu cha Vita vya Bwana kinasema: “…Mji wa Wahebu nchini Seifa na mabonde ya Arnoni,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.