Native Bible

Numbers 16:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wewe Kora na wafuasi wako wote mtafanya hivi: Chukueni vyetezo,

Numbers 16:6 in English

Numbers 16:6 · Berean Standard Bible

You, Korah, and all your followers are to do as follows: Take censers,

Context

4Mose aliposikia jambo hili, akaanguka kifudifudi. 5Kisha akamwambia Kora na wafuasi wake wote: “Asubuhi Bwana ataonyesha ni nani aliye wake na ni nani aliye mtakatifu, tena atamtaka mtu huyo aje kwake. Mtu yule ambaye atamchagua atamfanya kuja karibu naye. 6Wewe Kora na wafuasi wako wote mtafanya hivi: Chukueni vyetezo, 7kesho wekeni moto na uvumba kwenye hivyo vyetezo mbele za Bwana. Mtu ambaye Bwana atamchagua atakuwa ndiye mtakatifu. Ninyi Walawi mmejitukuza sana!” 8Pia Mose akamwambia Kora, “Enyi Walawi! Sasa nisikilizeni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.