Native Bible

Numbers 16:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pia Mose akamwambia Kora, “Enyi Walawi! Sasa nisikilizeni.

Numbers 16:8 in English

Numbers 16:8 · Berean Standard Bible

Moses also said to Korah, “Now listen, you sons of Levi!

Context

6Wewe Kora na wafuasi wako wote mtafanya hivi: Chukueni vyetezo, 7kesho wekeni moto na uvumba kwenye hivyo vyetezo mbele za Bwana. Mtu ambaye Bwana atamchagua atakuwa ndiye mtakatifu. Ninyi Walawi mmejitukuza sana!” 8Pia Mose akamwambia Kora, “Enyi Walawi! Sasa nisikilizeni. 9Haiwatoshi ninyi kwamba Mungu wa Israeli amewateua ninyi kutoka kusanyiko lote la Kiisraeli, na kuwaleta karibu naye mpate kufanya kazi kwenye Maskani ya Bwana, na kusimama mbele ya kusanyiko ili kuwahudumia? 10Amekuleta wewe na ndugu zako Walawi mwe karibu naye, lakini sasa unajaribu kupata na ukuhani pia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.