Hesabu 16:4
Numbers 16:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mose aliposikia jambo hili, akaanguka kifudifudi.
Numbers 16:4 in English
Numbers 16:4 · Berean Standard Bible
When Moses heard this, he fell facedown.
Context
2wakainuka dhidi ya Mose. Pamoja nao walikuwepo wanaume wa Kiisraeli 250, watu waliojulikana, viongozi wa jumuiya waliokuwa wameteuliwa kuwa wakuu wa kusanyiko. 3Wakaja kama kikundi kuwapinga Mose na Aroni, wakawaambia, “Ninyi mmejitukuza sana! Kusanyiko hili lote ni takatifu, kila mmoja wao, naye Bwana yu pamoja nao. Kwa nini basi mmejitukuza wenyewe juu ya kusanyiko la Bwana?” 4Mose aliposikia jambo hili, akaanguka kifudifudi. 5Kisha akamwambia Kora na wafuasi wake wote: “Asubuhi Bwana ataonyesha ni nani aliye wake na ni nani aliye mtakatifu, tena atamtaka mtu huyo aje kwake. Mtu yule ambaye atamchagua atamfanya kuja karibu naye. 6Wewe Kora na wafuasi wako wote mtafanya hivi: Chukueni vyetezo,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.