Hesabu 16:5
Numbers 16:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha akamwambia Kora na wafuasi wake wote: “Asubuhi Bwana ataonyesha ni nani aliye wake na ni nani aliye mtakatifu, tena atamtaka mtu huyo aje kwake. Mtu yule ambaye atamchagua atamfanya kuja karibu naye.
Numbers 16:5 in English
Numbers 16:5 · Berean Standard Bible
Then he said to Korah and all his followers, “Tomorrow morning the LORD will reveal who belongs to Him * and who is holy, and He will bring that person near to Himself. The one He chooses, He will bring near to Himself.
Context
3Wakaja kama kikundi kuwapinga Mose na Aroni, wakawaambia, “Ninyi mmejitukuza sana! Kusanyiko hili lote ni takatifu, kila mmoja wao, naye Bwana yu pamoja nao. Kwa nini basi mmejitukuza wenyewe juu ya kusanyiko la Bwana?” 4Mose aliposikia jambo hili, akaanguka kifudifudi. 5Kisha akamwambia Kora na wafuasi wake wote: “Asubuhi Bwana ataonyesha ni nani aliye wake na ni nani aliye mtakatifu, tena atamtaka mtu huyo aje kwake. Mtu yule ambaye atamchagua atamfanya kuja karibu naye. 6Wewe Kora na wafuasi wako wote mtafanya hivi: Chukueni vyetezo, 7kesho wekeni moto na uvumba kwenye hivyo vyetezo mbele za Bwana. Mtu ambaye Bwana atamchagua atakuwa ndiye mtakatifu. Ninyi Walawi mmejitukuza sana!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.