Hesabu 16:43
Numbers 16:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Mose na Aroni wakaenda mbele ya Hema la Kukutania,
Numbers 16:43 in English
Numbers 16:43 · Berean Standard Bible
Then Moses and Aaron went to the front of the Tent of Meeting,
Context
41Siku iliyofuata jumuiya yote ya Kiisraeli wakanungʼunika dhidi ya Mose na Aroni, wakisema, “Mmewaua watu wa Bwana.” 42Lakini wakati kusanyiko lilipokusanyika kupingana na Mose na Aroni, nalo likageuka kuelekea Hema la Kukutania, ghafula wingu likafunika Hema, nao utukufu wa Bwana ukatokea. 43Ndipo Mose na Aroni wakaenda mbele ya Hema la Kukutania, 44naye Bwana akamwambia Mose, 45“Jitenge mbali na kusanyiko hili ili niweze kuwaangamiza mara moja.” Wakaanguka chini kifudifudi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.