Hesabu 15:7
Numbers 15:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na theluthi moja ya hini ya divai kama sadaka ya kinywaji. Vitoe kama harufu nzuri inayompendeza Bwana.
Numbers 15:7 in English
Numbers 15:7 · Berean Standard Bible
and a third of a hin of wine as a drink offering, a pleasing aroma to the LORD.
Context
5Pamoja na kila mwana-kondoo kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa au dhabihu, andaa robo ya hini ya divai kwa sadaka ya kinywaji. 6“ ‘Pamoja na kondoo dume andaa sadaka ya nafaka ya sehemu mbili za kumi za efa* za unga laini uliochanganywa na theluthi moja* ya hini ya mafuta, 7na theluthi moja ya hini ya divai kama sadaka ya kinywaji. Vitoe kama harufu nzuri inayompendeza Bwana. 8“ ‘Unapoandaa fahali mchanga kama sadaka ya kuteketezwa au dhabihu, kwa ajili ya nadhiri maalum au sadaka ya amani kwa Bwana, 9leta pamoja na huyo fahali sadaka ya nafaka ya unga laini sehemu tatu za kumi za efa* uliochanganywa na nusu ya hini* ya mafuta.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.