Hesabu 15:6
Numbers 15:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Pamoja na kondoo dume andaa sadaka ya nafaka ya sehemu mbili za kumi za efa* za unga laini uliochanganywa na theluthi moja* ya hini ya mafuta,
Numbers 15:6 in English
Numbers 15:6 · Berean Standard Bible
With a ram you are to prepare a grain offering of two-tenths of an ephah * of fine flour mixed with a third of a hin of olive oil,*
Context
4ndipo yeye aletaye sadaka yake ataiweka mbele za Bwana sadaka ya nafaka, sehemu ya kumi ya efa* ya unga laini uliochanganywa na robo ya hini* ya mafuta. 5Pamoja na kila mwana-kondoo kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa au dhabihu, andaa robo ya hini ya divai kwa sadaka ya kinywaji. 6“ ‘Pamoja na kondoo dume andaa sadaka ya nafaka ya sehemu mbili za kumi za efa* za unga laini uliochanganywa na theluthi moja* ya hini ya mafuta, 7na theluthi moja ya hini ya divai kama sadaka ya kinywaji. Vitoe kama harufu nzuri inayompendeza Bwana. 8“ ‘Unapoandaa fahali mchanga kama sadaka ya kuteketezwa au dhabihu, kwa ajili ya nadhiri maalum au sadaka ya amani kwa Bwana,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.