Hesabu 15:19
Numbers 15:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
nanyi mkala chakula cha nchi hiyo, toeni sehemu ya chakula hicho kama sadaka kwa Bwana.
Numbers 15:19 in English
Numbers 15:19 · Berean Standard Bible
and you eat the food of the land, you shall lift up an offering to the LORD.
Context
17Bwana akamwambia Mose, 18“Sema na Waisraeli na uwaambie: ‘Mtakapoingia katika nchi ninayowapeleka 19nanyi mkala chakula cha nchi hiyo, toeni sehemu ya chakula hicho kama sadaka kwa Bwana. 20Toeni andazi kutoka kwa malimbuko ya chakula chenu kitokacho katika ardhi, na mkitoe kama sadaka kutoka sakafu ya kupuria nafaka. 21Kwa vizazi vyote vijavyo hamna budi kutoa sadaka hii kwa Bwana kutoka kwa malimbuko ya unga wenu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.