Native Bible

Numbers 15:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Sema na Waisraeli na uwaambie: ‘Mtakapoingia katika nchi ninayowapeleka

Numbers 15:18 in English

Numbers 15:18 · Berean Standard Bible

“Speak to the Israelites and tell them: When you enter the land to which I am bringing you

Context

16Sheria hizo hizo na masharti hayo hayo hayo, yatawahusu ninyi na mgeni aishiye miongoni mwenu.’ ” 17Bwana akamwambia Mose, 18“Sema na Waisraeli na uwaambie: ‘Mtakapoingia katika nchi ninayowapeleka 19nanyi mkala chakula cha nchi hiyo, toeni sehemu ya chakula hicho kama sadaka kwa Bwana. 20Toeni andazi kutoka kwa malimbuko ya chakula chenu kitokacho katika ardhi, na mkitoe kama sadaka kutoka sakafu ya kupuria nafaka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.