Hesabu 15:17
Numbers 15:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana akamwambia Mose,
Numbers 15:17 in English
Numbers 15:17 · Berean Standard Bible
Then the LORD said to Moses,
Context
15Jumuiya itakuwa na sheria hizo hizo kwenu na kwa mgeni aishiye miongoni mwenu; hii ni amri ya kudumu kwa vizazi vijavyo. Ninyi na mgeni mtakuwa sawa mbele za Bwana: 16Sheria hizo hizo na masharti hayo hayo hayo, yatawahusu ninyi na mgeni aishiye miongoni mwenu.’ ” 17Bwana akamwambia Mose, 18“Sema na Waisraeli na uwaambie: ‘Mtakapoingia katika nchi ninayowapeleka 19nanyi mkala chakula cha nchi hiyo, toeni sehemu ya chakula hicho kama sadaka kwa Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.