Hesabu 15:20
Numbers 15:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Toeni andazi kutoka kwa malimbuko ya chakula chenu kitokacho katika ardhi, na mkitoe kama sadaka kutoka sakafu ya kupuria nafaka.
Numbers 15:20 in English
Numbers 15:20 · Berean Standard Bible
From the first of your dough, you are to lift up a cake as a contribution; offer it just like an offering from the threshing floor.
Context
18“Sema na Waisraeli na uwaambie: ‘Mtakapoingia katika nchi ninayowapeleka 19nanyi mkala chakula cha nchi hiyo, toeni sehemu ya chakula hicho kama sadaka kwa Bwana. 20Toeni andazi kutoka kwa malimbuko ya chakula chenu kitokacho katika ardhi, na mkitoe kama sadaka kutoka sakafu ya kupuria nafaka. 21Kwa vizazi vyote vijavyo hamna budi kutoa sadaka hii kwa Bwana kutoka kwa malimbuko ya unga wenu. 22“ ‘Basi kama pasipo kukusudia umeshindwa kushika mojawapo katika amri hizi ambazo Bwana alimpa Mose,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.