Native Bible

Numbers 14:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini Mose akasema, “Kwa nini hamtii amri ya Bwana? Jambo hili halitafanikiwa!

Numbers 14:41 in English

Numbers 14:41 · Berean Standard Bible

But Moses said, “Why are you transgressing the commandment of the LORD? This will not succeed!

Context

39Mose alipotoa taarifa hii kwa Waisraeli wote, waliomboleza kwa uchungu. 40Mapema asubuhi siku iliyofuata walipanda juu kuelekea kwenye nchi ya vilima virefu, wakasema, “Tumetenda dhambi. Tutakwea mpaka mahali Bwana alipotuahidi.” 41Lakini Mose akasema, “Kwa nini hamtii amri ya Bwana? Jambo hili halitafanikiwa! 42Msipande juu, kwa kuwa Bwana hayupo pamoja nanyi. Mtashindwa na adui zenu, 43kwa kuwa Waamaleki na Wakanaani watapambana nanyi huko. Kwa sababu mmemwacha Bwana, hatakuwa pamoja nanyi, ninyi mtaanguka kwa upanga.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.