Native Bible

Numbers 14:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mose alipotoa taarifa hii kwa Waisraeli wote, waliomboleza kwa uchungu.

Numbers 14:39 in English

Numbers 14:39 · Berean Standard Bible

And when Moses relayed these words to all the Israelites, the people mourned bitterly.

Context

37watu hawa waliohusika kueneza taarifa mbaya kuhusu hiyo nchi walipigwa na kuanguka kwa tauni mbele za Bwana. 38Miongoni mwa watu waliokwenda kuipeleleza hiyo nchi, ni Yoshua mwana wa Nuni, na Kalebu mwana wa Yefune peke yao waliosalia. 39Mose alipotoa taarifa hii kwa Waisraeli wote, waliomboleza kwa uchungu. 40Mapema asubuhi siku iliyofuata walipanda juu kuelekea kwenye nchi ya vilima virefu, wakasema, “Tumetenda dhambi. Tutakwea mpaka mahali Bwana alipotuahidi.” 41Lakini Mose akasema, “Kwa nini hamtii amri ya Bwana? Jambo hili halitafanikiwa!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.