Hesabu 11:2
Numbers 11:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watu walipomlilia Mose, akamwomba Bwana, nao moto ukazimika.
Numbers 11:2 in English
Numbers 11:2 · Berean Standard Bible
And the people cried out to Moses, and he prayed to the LORD, and the fire died down.
Context
1Basi watu wakalalamika kwa habari ya taabu zao masikioni mwa Bwana, naye alipowasikia, hasira yake ikawaka. Ndipo moto kutoka kwa Bwana ukawaka miongoni mwao na kuteketeza baadhi ya viunga vya kambi. 2Watu walipomlilia Mose, akamwomba Bwana, nao moto ukazimika. 3Hivyo mahali pale pakaitwa Tabera,* kwa sababu moto kutoka kwa Bwana uliwaka miongoni mwao. 4Umati wa watu wenye zogo waliokuwa miongoni mwao walitamani sana chakula kingine, Waisraeli wakaanza kulia tena na kusema, “Laiti tungekuwa na nyama tule!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.