Nehemia 12:9
Nehemiah 12:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bakbukia na Uni, wenzao, walisimama mkabala nao wakati wa ibada.
Nehemiah 12:9 in English
Nehemiah 12:9 · Berean Standard Bible
Bakbukiah and Unni, their associates, stood across from them in the services.
Context
7Salu, Amoki, Hilkia na Yedaya.
Hawa walikuwa viongozi wa makuhani na wenzao wakati wa Yeshua. 8Walawi walikuwa Yeshua, Binui, Kadmieli, Sherebia, Yuda, na pia Matania, ambaye pamoja na wenzake, alikuwa kiongozi wa nyimbo za shukrani. 9Bakbukia na Uni, wenzao, walisimama mkabala nao wakati wa ibada. 10Yeshua alikuwa baba wa Yoyakimu, Yoyakimu alikuwa baba wa Eliashibu, Eliashibu alikuwa baba wa Yoyada, 11Yoyada alikuwa baba wa Yonathani, na Yonathani alikuwa baba wa Yadua.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.