Nehemia 12:11
Nehemiah 12:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yoyada alikuwa baba wa Yonathani, na Yonathani alikuwa baba wa Yadua.
Nehemiah 12:11 in English
Nehemiah 12:11 · Berean Standard Bible
Joiada was the father of Jonathan,* and Jonathan was the father of Jaddua.
Context
9Bakbukia na Uni, wenzao, walisimama mkabala nao wakati wa ibada. 10Yeshua alikuwa baba wa Yoyakimu, Yoyakimu alikuwa baba wa Eliashibu, Eliashibu alikuwa baba wa Yoyada, 11Yoyada alikuwa baba wa Yonathani, na Yonathani alikuwa baba wa Yadua. 12Katika siku za Yoyakimu, kulikuwa na wakuu wa jamaa za kikuhani:
wa jamaa ya Seraya, Meraya;
wa jamaa ya Yeremia, Hanania; 13wa jamaa ya Ezra, Meshulamu;
wa jamaa ya Amaria, Yehohanani;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.