Nehemia 11:8
Nehemiah 11:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na wafuasi wake, Gabai na Salai watu 928.
Nehemiah 11:8 in English
Nehemiah 11:8 · Berean Standard Bible
and his followers Gabbai and Sallai—928 men.
Context
6Wazao wa Peresi walioishi Yerusalemu walikuwa 468, watu wenye uwezo. 7Kutoka wazao wa Benyamini:
Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Yoedi, mwana wa Pedaya, mwana wa Kolaya, mwana wa Maaseya, mwana wa Ithieli, mwana wa Yeshaya 8na wafuasi wake, Gabai na Salai watu 928. 9Yoeli mwana wa Zikri alikuwa afisa wao mkuu, naye Yuda mwana wa Hasenua alikuwa msimamizi juu ya Mtaa wa Pili katika mji. 10Kutoka makuhani:
Yedaya, mwana wa Yoyaribu, Yakini,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.