Nehemia 11:9
Nehemiah 11:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yoeli mwana wa Zikri alikuwa afisa wao mkuu, naye Yuda mwana wa Hasenua alikuwa msimamizi juu ya Mtaa wa Pili katika mji.
Nehemiah 11:9 in English
Nehemiah 11:9 · Berean Standard Bible
Joel son of Zichri was the officer over them, and Judah son of Hassenuah was over the Second District of the city.*
Context
7Kutoka wazao wa Benyamini:
Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Yoedi, mwana wa Pedaya, mwana wa Kolaya, mwana wa Maaseya, mwana wa Ithieli, mwana wa Yeshaya 8na wafuasi wake, Gabai na Salai watu 928. 9Yoeli mwana wa Zikri alikuwa afisa wao mkuu, naye Yuda mwana wa Hasenua alikuwa msimamizi juu ya Mtaa wa Pili katika mji. 10Kutoka makuhani:
Yedaya, mwana wa Yoyaribu, Yakini, 11Seraya mwana wa Hilkia, mwana wa Meshulamu, mwana wa Sadoki, mwana wa Merayothi, mwana wa Ahitubu, msimamizi katika nyumba ya Mungu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.