Nehemia 11:10
Nehemiah 11:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kutoka makuhani: Yedaya, mwana wa Yoyaribu, Yakini,
Nehemiah 11:10 in English
Nehemiah 11:10 · Berean Standard Bible
From the priests: Jedaiah son of Joiarib;* Jachin;
Context
8na wafuasi wake, Gabai na Salai watu 928. 9Yoeli mwana wa Zikri alikuwa afisa wao mkuu, naye Yuda mwana wa Hasenua alikuwa msimamizi juu ya Mtaa wa Pili katika mji. 10Kutoka makuhani:
Yedaya, mwana wa Yoyaribu, Yakini, 11Seraya mwana wa Hilkia, mwana wa Meshulamu, mwana wa Sadoki, mwana wa Merayothi, mwana wa Ahitubu, msimamizi katika nyumba ya Mungu, 12pamoja na wenzao waliofanya kazi hekaluni: watu 822. Adaya mwana wa Yerohamu, mwana wa Pelalia, mwana wa Amsi, mwana wa Zekaria, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.