Nehemia 11:6
Nehemiah 11:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wazao wa Peresi walioishi Yerusalemu walikuwa 468, watu wenye uwezo.
Nehemiah 11:6 in English
Nehemiah 11:6 · Berean Standard Bible
The descendants of Perez who settled in Jerusalem totaled 468 men of valor.
Context
4ambapo watu wengine kutoka Yuda na Benyamini waliishi Yerusalemu).
Kutoka wazao wa Yuda:
Athaya mwana wa Uzia, mwana wa Zekaria, mwana wa Amaria, mwana wa Shefatia, mwana wa Mahalaleli, mzao wa Peresi. 5Naye Maaseya mwana wa Baruku, mwana wa Kolhoze, mwana wa Hazaya, mwana wa Adaya, mwana wa Yoyaribu, mwana wa Zekaria, mzao wa Mshiloni. 6Wazao wa Peresi walioishi Yerusalemu walikuwa 468, watu wenye uwezo. 7Kutoka wazao wa Benyamini:
Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Yoedi, mwana wa Pedaya, mwana wa Kolaya, mwana wa Maaseya, mwana wa Ithieli, mwana wa Yeshaya 8na wafuasi wake, Gabai na Salai watu 928.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.