Marko 9:6
Mark 9:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Petro hakujua aseme nini kwa maana yeye na wenzake walikuwa wameogopa sana.
Mark 9:6 in English
Mark 9:6 · Berean Standard Bible
For they were all so terrified that Peter did not know what else to say.
Context
4Mose na Eliya wakawatokea, wakawa wanazungumza na Yesu. 5Petro akamwambia Yesu, “Rabi, ni vyema sisi tukae hapa. Turuhusu tujenge vibanda vitatu: kimoja chako, kingine cha Mose na kingine cha Eliya.” 6Petro hakujua aseme nini kwa maana yeye na wenzake walikuwa wameogopa sana. 7Ndipo pakatokea wingu, likawafunika, nayo sauti kutoka lile wingu ikasema, “Huyu ni Mwanangu mpendwa. Msikieni yeye.” 8Mara walipotazama huku na huku, hawakuona tena mtu mwingine yeyote pamoja nao isipokuwa Yesu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.