Native Bible

Mark 8:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watu waliokula walikuwa wapata 4,000. Akiisha kuwaaga,

Mark 8:9 in English

Mark 8:9 · Berean Standard Bible

And about four thousand men * were present. As soon as Jesus had dismissed the crowd,

Context

7Walikuwa pia na visamaki vichache, Yesu akavibariki, akawaamuru wanafunzi wake wawagawie watu. 8Wale watu walikula na kutosheka. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba. 9Watu waliokula walikuwa wapata 4,000. Akiisha kuwaaga, 10aliingia kwenye mashua pamoja na wanafunzi wake, akaenda sehemu za Dalmanutha. 11Mafarisayo wakaja, wakaanza kumhoji Yesu. Ili kumtega, wakamwomba awaonyeshe ishara kutoka mbinguni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.