Marko 8:10
Mark 8:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
aliingia kwenye mashua pamoja na wanafunzi wake, akaenda sehemu za Dalmanutha.
Mark 8:10 in English
Mark 8:10 · Berean Standard Bible
He got into the boat with His disciples and went to the district of Dalmanutha.
Context
8Wale watu walikula na kutosheka. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba. 9Watu waliokula walikuwa wapata 4,000. Akiisha kuwaaga, 10aliingia kwenye mashua pamoja na wanafunzi wake, akaenda sehemu za Dalmanutha. 11Mafarisayo wakaja, wakaanza kumhoji Yesu. Ili kumtega, wakamwomba awaonyeshe ishara kutoka mbinguni. 12Akahuzunika moyoni, akawaambia, “Kwa nini kizazi hiki kinataka ishara? Amin nawaambieni, hakitapewa ishara yoyote.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.