Native Bible

Mark 8:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akamuaga aende nyumbani kwake, akimwambia, “Hata kijijini usiingie.”

Mark 8:26 in English

Mark 8:26 · Berean Standard Bible

Jesus sent him home and said, “Do not go back into the village.”*

Context

24Yule kipofu akaangalia, akasema, “Ninaona watu, wanaonekana kama miti inayotembea.” 25Yesu akamwekea tena mikono machoni. Kisha macho yake yakafunguka, kuona kwake kukarejea naye akaona kila kitu dhahiri. 26Yesu akamuaga aende nyumbani kwake, akimwambia, “Hata kijijini usiingie.” 27Yesu na wanafunzi wake wakaondoka kwenda katika vijiji vya Kaisaria-Filipi. Walipokuwa njiani, Yesu akawauliza, “Watu husema mimi ni nani?” 28Wakamjibu, “Baadhi husema wewe ni Yohana Mbatizaji, wengine husema ni Eliya, na bado wengine husema wewe ni mmojawapo wa manabii.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.