Native Bible

Mark 8:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yule kipofu akaangalia, akasema, “Ninaona watu, wanaonekana kama miti inayotembea.”

Mark 8:24 in English

Mark 8:24 · Berean Standard Bible

The man looked up and said, “I can see the people, but they look like trees walking around.”

Context

22Wakafika Bethsaida na baadhi ya watu wakamleta mtu mmoja kipofu wakamsihi Yesu amguse. 23Yesu akamshika mkono huyo kipofu akampeleka nje ya kijiji. Baada ya kuyatemea mate macho ya yule kipofu na kumwekea mikono, Yesu akamuuliza, “Unaona chochote?” 24Yule kipofu akaangalia, akasema, “Ninaona watu, wanaonekana kama miti inayotembea.” 25Yesu akamwekea tena mikono machoni. Kisha macho yake yakafunguka, kuona kwake kukarejea naye akaona kila kitu dhahiri. 26Yesu akamuaga aende nyumbani kwake, akimwambia, “Hata kijijini usiingie.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.