Marko 7:8
Mark 7:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninyi mmeziacha amri za Mungu na kushika desturi za watu.”
Mark 7:8 in English
Mark 7:8 · Berean Standard Bible
You have disregarded the commandment of God to keep the tradition of men.*”
Context
6Yesu akawajibu, “Nabii Isaya alisema ukweli alipotabiri juu yenu, ninyi wanafiki. Kama ilivyoandikwa:
“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao,
lakini mioyo yao iko mbali nami. 7Huniabudu bure,
nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’ 8Ninyi mmeziacha amri za Mungu na kushika desturi za watu.” 9Naye akawaambia, “Ninyi mnayo njia nzuri ya kukataa amri za Mungu ili mpate kuyashika mapokeo yenu! 10Kwa mfano, Mose alisema, ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na, ‘Yeyote amtukanaye baba yake au mama yake, na auawe.’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.