Marko 7:7
Mark 7:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huniabudu bure, nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’
Mark 7:7 in English
Mark 7:7 · Berean Standard Bible
They worship Me in vain; they teach as doctrine the precepts of men.’*
Context
5Kwa hiyo wale Mafarisayo na walimu wa sheria wakamuuliza Yesu, “Mbona wanafunzi wako hawafuati desturi za wazee, na badala yake wanakula kwa mikono najisi?” 6Yesu akawajibu, “Nabii Isaya alisema ukweli alipotabiri juu yenu, ninyi wanafiki. Kama ilivyoandikwa:
“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao,
lakini mioyo yao iko mbali nami. 7Huniabudu bure,
nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’ 8Ninyi mmeziacha amri za Mungu na kushika desturi za watu.” 9Naye akawaambia, “Ninyi mnayo njia nzuri ya kukataa amri za Mungu ili mpate kuyashika mapokeo yenu!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.