Marko 6:51
Mark 6:51 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akapanda ndani ya mashua nao, na ule upepo ukakoma! Wakashangaa kabisa,
Mark 6:51 in English
Mark 6:51 · Berean Standard Bible
Then He climbed into the boat with them, and the wind died down. And the disciples were utterly astounded,
Context
49lakini walipomwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu. Wakapiga yowe, 50kwa sababu wote walipomwona waliogopa.
Mara Yesu akasema nao, akawaambia, “Jipeni moyo! Ni mimi. Msiogope!” 51Akapanda ndani ya mashua nao, na ule upepo ukakoma! Wakashangaa kabisa, 52kwa kuwa walikuwa hawajaelewa kuhusu ile mikate. Mioyo yao ilikuwa migumu. 53Walipokwisha kuvuka, wakafika nchi ya Genesareti, wakatia nanga.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.