Native Bible

Mark 6:53 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walipokwisha kuvuka, wakafika nchi ya Genesareti, wakatia nanga.

Mark 6:53 in English

Mark 6:53 · Berean Standard Bible

When they had crossed over, they landed at Gennesaret and moored the boat.

Context

51Akapanda ndani ya mashua nao, na ule upepo ukakoma! Wakashangaa kabisa, 52kwa kuwa walikuwa hawajaelewa kuhusu ile mikate. Mioyo yao ilikuwa migumu. 53Walipokwisha kuvuka, wakafika nchi ya Genesareti, wakatia nanga. 54Mara waliposhuka kutoka mashua yao, watu wakamtambua Yesu. 55Wakaenda katika vijiji vyote upesi, wakawabeba wagonjwa kwenye mikeka ili kuwapeleka mahali popote waliposikia kuwa Yesu yupo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.