Native Bible

Mark 4:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana kila mtu aliye na kitu atapewa zaidi, naye atakuwa navyo tele. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyangʼanywa.”

Mark 4:25 in English

Mark 4:25 · Berean Standard Bible

For whoever has will be given more. But whoever does not have, even what he has will be taken away from him.”

Context

23Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.” 24Naye akawaambia, “Kuweni waangalifu na yale mnayosikia. Kipimo kile mpimacho, ndicho mtakachopimiwa ninyi, hata na zaidi. 25Kwa maana kila mtu aliye na kitu atapewa zaidi, naye atakuwa navyo tele. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyangʼanywa.” 26Pia akawaambia, “Ufalme wa Mungu unafanana na mtu apandaye mbegu shambani. 27Akiisha kuzipanda, usiku na mchana, akiwa amelala au ameamka, mbegu huota na kukua pasipo yeye kujua ikuavyo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.