Native Bible

Mark 3:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe, ufalme huo hauwezi kusimama.

Mark 3:24 in English

Mark 3:24 · Berean Standard Bible

If a kingdom is divided against itself, it cannot stand.

Context

22Walimu wa sheria walioteremka kutoka Yerusalemu walisema, “Amepagawa na Beelzebuli!* Anatoa pepo wachafu kwa kutumia mkuu wa pepo wachafu!” 23Basi Yesu akawaita na kuzungumza nao kwa mifano akasema: “Shetani awezaje kumtoa Shetani? 24Kama ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe, ufalme huo hauwezi kusimama. 25Nayo nyumba kama ikigawanyika dhidi yake yenyewe, nyumba hiyo haiwezi kusimama. 26Naye Shetani kama akijipinga mwenyewe na awe amegawanyika, hawezi kusimama bali mwisho wake umewadia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.